Akifanya interview na Jarida la Delta Airlines SKY MAGAZINE, Hip-Hop star Jay-Z aliulizwa kuhusu ushiriki wake huo, na kujibu kuwa ni kwamba wale wanosema hivyo ni kwamba hawapendi maendeleo yake na inakuwa hivyo zaidi hasa wanapoona wao wamefeli.
Mara ya mwisho Jay-Z kuliongelea hili ilikuwa ni mwaka jana ikiwa ni kwenye wimbo wa rapper Rick Ross "Free Mason," ambapo alikataa kuwemo kwenye jamii hiyo inyofanya mambo yake kwa vificho.
Jay-Z alirap "I said I was amazing, not that I'm a Mason / It's amazing that I made it through the maze that I was in / Lord forgive me, I never woulda made it without sin / Holy water, my face in the basin / Diamonds in my rosary shows he forgave him / Bitch I'm red hot, I'm on my third six, but a devil I'm not,"
Jay amekuwa ni mmoja wa rappers nchini Marekani wanaohusishwa na MASON kwa muda mrefu sasa, wengine ni Kanye West na 50 Cent.
No comments:
Post a Comment