airtel

airtel

.

.

Thursday, March 7, 2013

MSANII TAJIRI NA GUMZO DUNIANI JAY Z ASEMA HAJAWAHI KUJIHUSISHA NA FREEMASON NA HAFIKIRII KUJIUNGA NAO.


Kumekuwa na rumors kwa Jay-Z kuwa katika muunganiko na jamii ya kishetani ikifahamika kama FREEMASON ikiwa inaongelewa sana kwa miaka ya hivi karibuni. Huku ikionekana ikiwa imetulia kwa sasa, lakini bado majadiliano yanaendelea.
Akifanya interview na Jarida la Delta Airlines SKY MAGAZINE, Hip-Hop star Jay-Z aliulizwa kuhusu ushiriki wake huo, na kujibu kuwa ni kwamba wale wanosema hivyo ni kwamba hawapendi maendeleo yake na inakuwa hivyo zaidi hasa wanapoona wao wamefeli.
Jay-Z, "It may sound a little arrogant, but I just think people can't handle when somebody else is successful," Jay said in the mag's feature. "Something has gotta be wrong; you gotta be down with some higher power. And I guess when someone else is successful, it makes you feel like maybe you're a failure. So it can't be you, it has to be some other force."
Mara ya mwisho Jay-Z kuliongelea hili ilikuwa ni mwaka jana ikiwa ni kwenye wimbo wa rapper Rick Ross "Free Mason," ambapo alikataa kuwemo kwenye jamii hiyo inyofanya mambo yake kwa vificho.
Jay-Z alirap "I said I was amazing, not that I'm a Mason / It's amazing that I made it through the maze that I was in / Lord forgive me, I never woulda made it without sin / Holy water, my face in the basin / Diamonds in my rosary shows he forgave him / Bitch I'm red hot, I'm on my third six, but a devil I'm not,"
Jay amekuwa ni mmoja wa rappers nchini Marekani wanaohusishwa na MASON kwa muda mrefu sasa, wengine ni Kanye West na 50 Cent.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...