Msanii anayefanya muziki wa kizazi kipya mwenye miondoko ya R&B na kutamba na baadhi ya ngoma zake kama Samboira, Number one fun na ya sasa ambayo inafanya vizuri sana Pete, hapa na muongelea Benard Paul au maarufu kama Ben Pol.
Sasa latest news kutoka Star huyu ni kuwa kabla ya mwezi huu kuisha
anatarajia kuachia ngoma yake mpya ambayo bado anaitafutia jina zuri la
kuipa track hiyo. Aidha pamoja na Ben Pol kutojua atalipa jina gani
ngoma hiyo ila amesema kuwa mistari ambayo ameitumia ndani ya ngoma
hiyo ni inaubora na manufaa katika jamii kwani wakati anatunga mistari
hiyo alikuwa metuliza sana akili yake.
-Nasta blogspot team report
-Nasta blogspot team report
No comments:
Post a Comment