ARUSHA NI YANGU DAIMA
Aliyekuwa
Mbunge wa Arusha Mh. Godbless Lema ameshinda Rufaa yake ya Ubunge leo
Asubuhi na hivyo kuendelea kuongoza jimbo lake la Arusha mjini.
Lema
alivuliwa ubunge Aprili 5, 2012 katika hukumu iliyotolewa na Jaji
Gabriel Rwakibalira, kutokana na kesi iliyofunguliwa na makada watatu
wa CCM; Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel, wakipinga ushindi
wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.
Habari kamili baadae Kidogo endelea kuperuzi Nasta boy Blog. Hongereni Chadema na Wanaarusha wote kwa ushindi wa kishindo.
No comments:
Post a Comment