Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye
ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika
ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa
wako katika mipango ya kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya
matibabu ya uhakika,Nasta boy blogspot ilifanya juhudi za kumtafuta wastara hata hivyo simu yake iliita muda mrefu bila kupokelewa,Uongozi wa blog hii unaungana na watanzania wote kumuombea dua ndugu yetu sajuki ili aweze kurejea katika afya njema.
niambieni wadau
ReplyDelete