airtel

airtel

.

.

Sunday, December 16, 2012

KALA JEREMIAH KUTOA ALBUM

Kala Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika ngoma yake inayokwenda kwa jina la Dear God,sasa leo ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.Na hapo chini anaonyesha cover yake mpya ya hiyo album.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...