airtel

airtel

.

.

Saturday, December 15, 2012

MJUE FID Q,NYOTA WA HIP HOP ANAYEKUBALIKA NA WENGI


Fid Q akionyesha kidole cha shahada - akiashiria wimbo wake wa "Chagua Moja".
Fid Q akionyesha kidole cha shahada - akiashiria wimbo wake wa "Chagua Moja".
Jina la Kiraia Farid Kubanda
Jina la kisanii Fid Q
Nchi Tanzania
Alizaliwa 13 Agosti, 1982
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwanamuziki
Ameshirikiana na Juma Nature
Professor Jay
Witness
Mr. Paul
Daz Baba
Langa Kileo
Black Rhino
T.I.D.
Adiri
Ala Sauti
Kampuni Bongo Records
Mj Records
Baucha Records
Farid Kubanda (amezaliwa tar. 13 Agosti, 1982, katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza) ni msanii wa hip hop na bongo flava,kwa sasa fid q anajishughulisha na kunyanyua vipaja hasa vya wana hip hop bongo na unaweza kuangalia kipindi chake kila siku ijumaa EATV saa tatu na nusu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...