*RAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA MADAGASCAR ANDRY RAJOELINA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na mgeni wake, Rais wa
Madagascar, Mheshimiwa Andry Rajoelina mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kwa ziara ya siku mbili nchini.
Rais
Jakaya kikwete (kulia) akiongozana na mgeni wake Rais wa Madagascar,
Mheshimiwa Andry Rajoelina baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kwa ziara ya siku mbili
nchini. Picha na Fredy Maro, Ikulu
No comments:
Post a Comment