MOVIE MPYA YA SHARO KUWA GUMZO
Hilo ndio kava la movie
mpya ya Marehemu Sharo Milionea ambayo alicheza na watu mbalimbali
akiwemo Mzee Majuto na mtoto wa mzee Majuto ambae ndio huyo hapo
kushoto anaitwa Hamza Majuto, hili ndio kava la hiyo movie kwa sasa
lakini kama picha za Sharo Milionea zilizo kwenye soft copy
zitapatikana basi itabadilishwa.
Bado familia ya Majuto iko kwenye mazungumzo na kampuni ya zamani aliyokua akifanya nayo kazi Sharo Milionea ambayo ndio ina picha za Sharo zilizo kwenye soft copy, mazungumzo ya mwanzo yamehitaji walipe pesa kuzipata hizo picha kwa kiasi kisichopungua milioni moja za kitanzania ila bado yanaendelea, endelea kuitembelea millardayo.com
Picha za Sharo Milionea zilizo kwenye facebook na internet kwa ujumla imeshindikana kutumika kutokana na ubora kuwa mdogo.
Hamza Majuto kaiambia nastaboy blogspot katika wiki moja ijayo ambayo movie hiyo ndio inatarajiwa kuanza kuuzwa wanategemea kufanya mauzo ya kopi elfu kumi kwenye wiki ya kwanza.

No comments:
Post a Comment