Msanii kutoka Kenya alietoka na single
yake "kitu kimoja" Avril, amekua akitajwa kuwa na mahusiano na wanaume
kadhaa tangu alipoingia katika game ya muziki. Miezi ya nyuma tetesi
zilisema kuwa anatoka na co-host wa kiss 100 Jalang'o, kitu ambacho
kilikuja kugundulika ni uongo
Ijumaa iliyopita kupitia mitandao ya jamii, story zilivuma kuwa Avril anatoka na Diamond na hasa ni baada ya kutokea kwa mara ya pili kwenye video za Diamond
kesho na nataka kulewa.
Baada ya kumpata Avril juu ya tetesi hizi, kupitia mtandao wa kenyan-post.com, hiki ndicho alichokisema
"mimi na Diamond? hapana kabisa, sio
chochote, ni marafiki tu.Sikuwa msanii pekee alietokea katika video
yake, alituomba tumpe sapoti katika video yake ya kesho na nataka kulewa
ambazo zilitengenezwa na kurekodiwa na Ogopa Djs. Sijaenda Zanzibar na
Diamond, nilikua peke yangu kwa wiki moja ya likizo, nashangaa nani
ameanzisha hizi tetesi"
No comments:
Post a Comment