Rickross
,kwa sasa star huyu
anashiriki katika tamthilia ya Umafia inayo tengenezwa Mjini Miami,
Marekani. Kwenye Tamthilia hii ya Magic City inayo weka wazi matendo ya
Mafia yaliyo fanyika Miaka ya 1950, Rozay anaingia kwenye
season ya Pili na anavaa husika wa Bolita Boss.
Kazi na matendo ya Boss huyu ni Mauwaji na Ujambazi na msemo wake
kwenye Tamthilia Hii ni "God is good... Until he ain't," Nastaboy blogspot imethibitisha habari hii kutoka katika chanzo cha habari cha kuaminika,kaeni mkao wa kula kumuona Rick ross katika harakati zake na safari hii akituonyesha uwezo wake haupo katika kuimba tu bali hata katika kuigiza.
Moja ya scene katika picha ambayo rick ross ameiigiza katika tamthiliya hiyo
No comments:
Post a Comment