Producer wa ngoma kali kutoka nchini Marekani, Timbaland amepata deal mpya baada ya kuwa signed na Boss Rapper Jay-Z kupitia label yake ya ROC NATION.
Timbaland ambae ameshafanya hits nyingi na Jay-Z ikiwemo "Jigga What, Jigga Who" 1998, "Big Pimpin'", Dirt Off Your Shoulder", "Off That", "The Bounce" na nyingine nyingi.
Jay-Z ali-break out the news jana kupitia kwenye website yake ya Life And Times, kwa kuandika "Roc Nation welcomes TIMBALAND to the family"
Timbaland ameshafanya kazi kwa muda mrefu sana sasa, ikiwa ni na wasanii mbali mbali wakubwa kama Missy Elliot, Aaliyah, Jodeci, Eminem, Usher, One Republic na wengineo

No comments:
Post a Comment