airtel

airtel

.

.

Monday, February 25, 2013

BAADA YA JAY Z NA JUSTIN TIMBERLAKE KUANDAA TOUR KALI WATAKAYOZUNGUKA MAENEO MBALIMBALI KUITAMBULISHA SUIT AND TIE,KANYE WEST AMETOA KAULI KUWA SUIT AND TIE NI MOJA YA NGOMA MBAYA KABISA AMBAYO HAIKUBALI,HII HAPA KAULI YAKE.

Rapper kutoka Chi-Town, Chicago, Kanye Omari West ameidiss ngoma mpya ya Justin Timberlake inayofahamika kama SUIT & TIE katika show yake aliyoifanya jana huko London, UK.

Kanye aliidiss ngoma hiyo ya Timberlake ambayo inafanya vizuri kwa sasa akiwa amemshirikisha mtu wake wa karibu, rapper Jay-Z katika moja ya mistari yake as he was performing live kwa kusema, "Remind me again who's the original superfly?? And I got love for Hov, but am not fucking with that "Suit & Tie"..."

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...