|
BEYONCE AKIWA KATIKA POZI LA JARIDA LA VOGUE |
Beyonce apata shavu la kutokea kwenye Jarida la
VOGUE na inside story ya
"Power Issue". Beyonce ameongelea mambo mengi kwenye jarida hili hususani lile swala la watu kuzusha kuwa alikuwa ana mimba ya uwongo.
Ndani ya jarida hilo, Beyonce pia amezungumzia jinsi anavyomlea mwanae
Blue Ivy Carter na maisha yake na mumewe
Jay-Z kwa ujumla.
Hapa chini, ni baadhi ya picha za utengenezaji wa jarida hilo...
|
BEYONCE AKIWA KATIKA UPIGAJI PICHA |
|
HAPA BEYONCE AKIWA KATIKA POZI |
No comments:
Post a Comment