POST ZA WALIMU WAPYA ZATANGAZWA SASA KURIPOTI KUANZIA MACHI 1 HADI 9
SERIKALI IMETANGAZA MATOKEO YA POST ZA WALIMU WAPYA WANAOTAKIWA KURIPOTI KATIKA VITUO VYAO VYA KAZI KUANZIA MWEZI MACHI 1 HADI 9 NA AMBAO HAWATARIPOTI KATIKA KIPINDI HICHO WATAPOTEZA AJIRA ZAO.
Imeandaliwa na Nasta BOY TEAM
No comments:
Post a Comment