Rais
Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara
yake ya Kiserikali nchini akiagana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilali aliye pamoja na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda pamoja na viongozi
wengine katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini,
wakisiliza taarifa ya pamoja ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini
wakisimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya
anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki
wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali
nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Picha na IKULU
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Magareza
nchini, Kamishna Jenerali John Minja kabla ya kuingia ndani ya
Kiwanda cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wa pili kutoka kushoto
ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi, anayefuata
ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Pereira Ame Silima.
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki (wapili kutoka kulia)
akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa pili
kutoka kushoto), Mkuu wa Magereza nchini, Kamishna Jenerali John
Minja (kulia) pamoja na maofisa mbalimbali kutoka nchini na Kenya, wakiingia
ndani ya kiwanda hicho.
Mshauri Mtaalamu wa Mradi wa Kiwanda cha kutengeneza
kofia ngumu katika Jeshi la Magereza, Alpherio Moris (kulia) akimuonyesha
Rais Mwai Kibaki moja ya kofia ngumu (Helmet) ambayo inatarajiwa kutengenezwa
na kiwanda cha magereza Ukonga hivi karibuni.
Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jeneral John
Minja (kushoto) akimkabidhi zawadi maalum ya kiti Rais Mwai Kibaki wa
Kenya.
Rais Mwai Kibaki (wa kwanza kutoka kulia aliyevaa
tai) akiwafurahia Askari Magereza na ofisa kutoka nchini Kenya wakiwa
wamekaa kwenye kiti cha wapendanao kilichotengenezwa na wafungwa kiwandani
humo.
Rais Mwai Kibaki (wa pili kushoto) akiwa na maofisa
mbalimbali wakiondoka Kiwanda cha Magereza Ukonga baada ya kumaliza
kuangalia vifaa mbalimbali vinavyotengenezwa na kiwanda hicho.
Rais Mwai Kibaki akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi mbalimbali nchini pamoja na maofisa kutoka nchini Kenya.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia,
akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akipongeza na
mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais Kibaki
kuzindua kizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013 wanaoshuhudia ni Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akimshukuru
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda huku Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Rais na mwenyeji wake Rais Jakaya
Mrisho Kikwete wakishuhudia , naakizindua rasmi jina la Barabara ya
Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akimshukuru
Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli huku akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013.
Sehemu ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Sehemu yenye kibao jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la
barabara ya Old Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai
Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na
mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua
rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la
barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na
Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
MC Ephraim Kibonde akiwa kazini katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akielekea kwenye kipaza sauti ili kumkaribisha Rais Mwai kibaki
na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
akimkaribisha Rais Mwai kibaka na Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar Rais Mwai kibaki huku Mwenyeji
wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais Mwai kibaki wa kenya akimshukuru
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda baada ya kumpa zawadi ya kasha
la Zanzibar Rais Mwai kibaki huku Mwenyeji
wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Rais jakaya kikwete akimshukuru Meya
wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda baada ya kumpa zawadi ya kasha la
Zanzibar Rais Mwai kibaki katika uzinduzi rasmi wa
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jina la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza wakati wa uzinduzi rasmi
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
Madiwani wa kinondoni.Picha Zote na IKULU
No comments:
Post a Comment