Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, akiifungia timu yake bao la pili na la ushindi katika mchezo wao dhidi ya Manchester United kwenye uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.
Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos, akijifunga na kuwafanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 wakati wa mchezo huo.…
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, akiifungia timu yake bao la pili na la ushindi katika mchezo wao dhidi ya Manchester United kwenye uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.
Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos, akijifunga na kuwafanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 wakati wa mchezo huo.
Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric, akipiga shuti lililokwenda moja kwa moja langoni mwa Man Utd na kufanya matokeo yawe 1-1 wakati mchezo ukiendelea.
No comments:
Post a Comment