Kendrick Lamar |
Anaitwa Kendrick Lamar, Yuko Chini Ya AfterMath Records Ya Dr Dre. Kupitia MTV Amechaguliwa kama MC Bora wa mwaka 2012/2013 kwenye Game kwa sasa. Kwenye Mahojiano Na Kituo Kimoja Marekani Lamar amesema Kuwa MC Bora kwenye orodha hio ni kitu kikubwa sana, Alishawahi kufikiria kuwepo kwenye Orodha hio lakini sio kuwa namba Moja. Kendrick aliendelea kusema wasanii watalalamika kuwa bado hajawa na kiwango hicho na nimapema sana Ila yeye anadhani kuwa namba Moja kwenye list hio amewakilisha rappers wote wanaochipukia wenye uwezo ambao bado haujaonekana.
Hii Ndio Orodha Yenyewe.
1] Kendrick Lamar
2] 2 Chainz
3] Rick Ross
4] Nas
5] Drake
6] Big Sean
7] Kanye West
8] Asap Rocky
9] Future
10] Meek Mill
No comments:
Post a Comment