Trailer ya movie mpya ya Chris Brown “Battle of the Year”
By Editor on May 16, 2013 (1 day ago)
Chris Brown mwenye miaka 24, ametoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa
‘Battle of the year.
Katika movie hiyo Chris amecheza akiwa kama member wa team ya kudance
inayofanya maandalizi kwaajili ya kushiriki katika mashindano ya dunia
ya kubreak-dance. Kama wewe ni shabiki wa zile hot dance moves za breezy
katika video za ngoma zake, bila shaka utaenjoy zaidi kuziona katika
movie hii itakayokuwa na muonekano wa 3D.
Battle of the Year inategemea kuingia kwenye movie theaters September 18
No comments:
Post a Comment