airtel

airtel

.

.

Thursday, June 13, 2013

PIGO LINGINE KATIKA HIP HOP,HATIMAE LANGA AFARIKI DUNIA LEO

MSANII LANGA ENZI ZA UHAI WAKE
TAARIFA ZILIZOIFIKIA NASTA BOY BLOGSPOT KUTOKA KWA BABA MZAZI WA LANGA KUTOKA MIKOCHENI NYUMBANI KWAO LANGA ZINAELEZA KUWA LANGA ALIUGUA MALARIA KALI NA ALIPOPELEKWA MUHIMBILI KWA MATIBABU HALI ILIZIDI KUWA MBAYA AMBAPO ILIPOFIKA SAA KUMI JIONI LANGA ALIFARIKI,HATA HIVYO FAMILIA ILIPATA TAARIFA NA KUANZA KUTANGAZA KATIKA MEDIA MBALIMBALI, MAMA WA LANGA AMBAE YUPO MAREKANI ANATARAJIA KURUDI NCHINI KWA AJILI YA MAZIKO YA MWANAE MPENDWA.
MARA YA MWISHO LANGA ALIONEKANA KATIKA KIPINDI CHA FNL KINACHORUSHWA NA EATV KILA IJUMAA AMBAPO LANGA ALIZUNGUMZIA MENGI IKIWEMO SABABU ZA UKIMYA WAKE NA JINSI ALIVYYOJIPANGA KURUDISHA HESHMA YAKE KATIKA MUZIKI WA HIP HOP.
BLOG HII INAWAPA POLE MASHABIKI NA FAMILIA YA LANGA
M/MUNGU AMPUMZISHE SALAMA.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...