Wakati
magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini,
majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo
kuchujwa na makachero wa FBI.Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu
Julius Nyerere, Moses Malaki amesema kuwa matayarisho ya ujio wa Rais
huyo ni kabambe na hayajawahi kutokea katika historia ya Tanzania.Pia
alisema shughuli za kumpokea Rais Obama, anayetarajiwa kutua Jumatatu
saa 8:40 mchana.
No comments:
Post a Comment