RAIS JAKAYA KIKWETE Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza siku 3 za maombolezi kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Afrika ya Kusini. Bendera zote nchi Tanzania zitapepea nusu mligoti. Tanzania ni moja kati ya nchi za Afrika iliyosaidia Afrika ya Kusini kupata uhuru.
Nelssn Mandela amewahi kuitembelea Tanzania mwaka 1962 mwaka mmoja
baada ya Uhuru wa Tanzania pia aliitembele mwaka 1994 baada ya kuapishwa
kuwa Rais wa Afrika Kusini. Nelson Madiba Mandela amefariki akiwa na umri wa miaka 95 | | | | | |
|
|
|
|
| | | | |
No comments:
Post a Comment