WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AJIUZULU
Waziri wa Maliasili na Utalii balozi Khamis Kagasheki atangaza rasmi
kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza'
iliyotolewa mapema leo bungeni, na kusababisha wabunge wengi kushinikiza
awajibike.
No comments:
Post a Comment