Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri Wakiwa Wanuingiza Mwili wa wa marehemu Dkt. William Mgimwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo
wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa
viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha,
marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo
mchana. Mwili huo umesafirishwa leo kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu
na familia yake wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt
William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo
january 5, 2014
Rais Jakaya Kikwete, akiifariji familia ya marehemu Dkt. William Mgimwa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na mkewe Mama Zakia Bilala, wakitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiifariji familia ya marehemu Dkt.
William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga na kutoa heshima za mwisho
zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Mama Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho.
Spika wa Bunge Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana heshima za mwisho
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, heshima za mwisho.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa katika foleni kuelekea kutoa heshima zao za mwisho.
Mawaziri wakibeba Jeneza
lenye mwili wa marehemu Dkt. William Mgimwa wakati likipakiwa kwenye
gari tayari kuanza safari ya kuelekea Uwanja wa ndege kuelekea mkoani
Iringa kwa maziko.
Baadhi ya viongozi wa Serikali waliohudhuria shughuli hiyo
Baadhi ya Wabunge waliohudhuria shughuli hiyo.Picha na IKULU na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment