Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria,
Youcef Yousfi
(wa kwanza kushoto kwake) aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni
ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini
kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi,
aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz
za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar
es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Kampuni ya Sonatrach na
Sonalegaz za nchini Algeria, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Jan 7, 2014. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof.
Sospeter Mhongo
No comments:
Post a Comment