Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa
aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati ulipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa ajili ya
mazishi yanayotarajiwa kufanyika Desemba 6, 2014 kijijini Magunga.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa
Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya
mazishi yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba 6, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri wa
Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu
katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya
mazishi Desemba 5, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa
Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati alipokwenda
nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa kutoa pole
na kuangalia maandalizi a mazishi Januari 5, 2014
Blog hii inawapa pole watu wote walioguswa na msiba huu hakika sisi ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea.
No comments:
Post a Comment