Taarifa za kuaminika kutoka kwa mmoja wa waleta habari katika blog hii,aliyepo mahakama kuu kusikiliza kesi ya pingamizi ya kamati kuu ya chadema amesema kesi imikilizwa na uamuzi wwa pingamizi a zitto kabwe dhidi ya CC ya chadema hukumu itatolewa kesho saa nane mchana.
Hivyo wadau mnaofuatilia nitawapa live update kesho maana nitakuwa dar.
No comments:
Post a Comment