George Tyson enzi za uhai wake. |
George Tyson akimlisha keki Yvonney Chery ‘Monalisa’ wakati mtoto wao Sonia alipopata kipaimara.
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu za Kibongo, Yvonny Cherry 'Monalisa',
George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo
ya Gairo, Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Tyson alikuwa ameambatana na
watu kadhaa katika safari hiyo ambao wanadaiwa kuumia vibaya. Mwili wa
marehemu Tyson pamoja na majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa Hospitali ya
Mkoa wa Morogoro. Tyson enzi za penzi lake na Monalisa walifanikiwa
kupata mtoto aitwaye Sonia.
Marehemu Tyson akiwa na Monalisa (kushoto), kulia ni Tyson na mwanae Sonia.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Monalisa amemlilia Tyson kwa kuweka picha hiyo juu na kuandika maneno yafuatayo:Monalisa akimnywesha kinywaji Tyson wakati wa kipaimara cha Sonia. |
No comments:
Post a Comment