Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015. |
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015. |
Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha akijibu hoja za wabunge. |
Maofisa wa wizara ya Fedha wakiwapongeza Mawaziri wa Wizara yao mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya mwaka Serikali kwa Mwaka wa fedha 2014-2015. |
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliye vaa kilemba) akitoka katika ukumdi wa Bunge akiongozana na Naibu waziri, mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Serikali kwea mwaka 2014-2015 kwa zaidi ya kura miambili. |
No comments:
Post a Comment