Basi la Kampuni ya AHIDA"S
lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - Tunduru
Limepata ajali mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya
- Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.
Ajali hiyo
ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa
mtoto aliyekuwa anakatiza
barabara.
Mara
baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha
polisi cha Kibiti. Basi lilikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduru.
No comments:
Post a Comment