WIKI YA SERIKALI ZA MITAA INAYOENDELEA JIJINI TANGA IMEKUWA NI KIVUTIO KIKUBWA KWA WAKAZI WA MKOA HUU KUTOKANA NA DART KUTOA ELIMU YA MABORESHO YA MFUMO MPYA WA MABASI YAENDAYO HARAKA JIJINI DAR ES SALAAM.
AKIZUNGUMZA NA BLOG HII NDUGU ,MHANDISI WA DART,MOSES NYONI AMESEMA LENGO LA KUTOA ELIMU HIYO NA KUWEPO MKOANI TANGA NI KUVUTIA HALMASHAURI NYINGINE ZIWEZE KUFANYA MAREKEBISHO HAYO NA VILEVILE KUTOA ELIMU KWA WADAU WATAKAOTARAJIA KWENDA JIJINI DAR.
No comments:
Post a Comment