Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
akiwa amekumbatiana na mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe, Dkt.
Gharib Bilal ikiwa ishara ya kuagana mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
sita nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao
(kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe, Dkt. Gharib Bilal (kulia)
wakipeana maneno ya mwisho katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam ikiwa ishara ya kuagana baada ya kumaliza ziara
yake ya siku sita.
Kikundi cha ngoma kikicheza mbele ya Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (hayupo pichani) wakati wa kumuaga
baada ya kukamilisha ziara yake ya siku sita nchini Tanzania.Picha na BENEDICT LIWENGA-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment