Kitabu na ratiba yake
ya wiki sita hairuhusu madawa yoyote kutumika. Kwenye litabu hichi 50 Cent anakufundisha
kuwa na mwili mzuri wenye afya kama wake na mazoezi unayoweza kufanya
kama ni mtu mwenye kazi sana na huna muda wa gym.Pia anakupa maelekezo
jinsi ya kumudu mazingira ya gym ukiwa na msongo wa mawazo.
No comments:
Post a Comment