
Mwanamuziki kutokea nchini Marekani ambae ni mzaliwa wa nchini Senegal, Akon ameamua kufanya kazi pamoja na manadada kutokea Nollywood maarufu kama Omotola Jalade.

Akon ambae ndio mmiliki wa label ya 'Konvict Music' amesema ameamua kumsaidia Omotola kutengeneza album yake mpya ikiwemo kushirikiana nae katika TV Show mpya ya mwanadada huyo ambayo inaitwa ''OMOTOLA: The Real Me''.
Akon ameamua kumfanyia hayo star Omotola ili aweze kumuinua kimuziki na kumfanya awe mwana muziki mwenye jina kubwa na wa kimataifa.
No comments:
Post a Comment