
Star kutoka Hollywood
Beyonce, amemnunulia mama yake mzazi
Tina Knowles jumba la kifahari ambalo limemgharimu kiasi cha zaidi ya dolla za kimarekani
$5.8 Million. Jumba hilo ambalo lipo katika mji wa
Houston ni kubwa sana na lina vitu vingi ambavyo hata huwezi kufikiria kama huyo mama atakuwa kama anavitumia.
Check picha zaidi za jumba lenyewe hapa chini....
PICHA ZOTE KWA HISANI YA MTANDAO.
No comments:
Post a Comment