CCM YAFUNIKA MWANZA YAAHIDI KUFANYA MENGI MAZURI KWA WANANCHI
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Waziri wa Uchukuzi Dk.
Harrisoin Mwakyembe wakiwaaga wananchi, baada ya Mkutano mkubwa wa
hadhara wa CCM uliofanyika leo kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya
wananchi waliofurika kweneye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza na mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti
wa CCM (Bara ) Phili Mangula.Picha na Bashir Nkromo-itikadi Uenezi CCM,Makao Makuu
No comments:
Post a Comment