
Mwanamuzi kutokea pande za kwa Obama maarufu kama Justin Timberlake ambae alitamba na baadhi ya ngoma zake kama What Goes Around Comes Around, Cry Me A River, Rock Your Body na nyingine nyingi, hivi karibuni ataachia ngoma yake mpya kabisa iitwayo I'M READY hiyo ni baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu sasa.
Justin amesema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter na kutoa kama maelezo mafupi kuhusiana na ngoma yake hiyo.

No comments:
Post a Comment