
Rapper kutoka chini ya Label ya Young Money maarufu kama Drake ameongeza tena michoro kwenye mwili wake kwa kumchora marehemu Mjomba na Bibi yake mgongoni mwake.
Tattoo hizo ambazo zimechorwa pembeni mwa mchoro wa picha ya Aaliyah pamoja na picha nyingine ambayo uso wake umefichwa.

Tattoo hizo ambazo zimechorwa kwa muda wa wiki kadhaa, kuanzia December 27 na kumaliziwa January 13. Rapper Drake hajasema sababu ya kuficha sura ya mwanamke huyo na ina uhusiano gani na yeye.
No comments:
Post a Comment