airtel

airtel

.

.

Thursday, January 31, 2013

SUMALEE AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI MCHANA HIUU.


Msanii wa kizazi kipya a.k.a sumalee mzee wa hakunaga ameweka status katika akaunti yake ya facebook kuwa amefiwa na baba yake mzazi masaa manne yaliyopita na hii ndio status yake,Sumalee ambae yupo katika ziara ya kimuziki nchini uingereza amelazimika kukatisha safari kwa ajili ya kuwahi kumzika baba yake mzazi,na ataondoka uingereza na ndege ya usiku.
BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...