airtel

airtel

.

.

Wednesday, February 13, 2013

BEYONCE ANG'ARA KATIKA JARIDA JIPYA LA VOGUE KWA KUPAMBWA NA PICHA YAKE KATIKA JARIDA HILO

BEYONCE AKIWA KATIKA POZI LA JARIDA LA VOGUE
Beyonce apata shavu la kutokea kwenye Jarida la VOGUE na inside story ya "Power Issue". Beyonce ameongelea mambo mengi kwenye jarida hili hususani lile swala la watu kuzusha kuwa alikuwa ana mimba ya uwongo.
Ndani ya jarida hilo, Beyonce pia amezungumzia jinsi anavyomlea mwanae Blue Ivy Carter na maisha yake na mumewe Jay-Z kwa ujumla.
Hapa chini, ni baadhi ya picha za utengenezaji wa jarida hilo...

BEYONCE AKIWA KATIKA UPIGAJI PICHA
HAPA BEYONCE AKIWA KATIKA POZI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...