Habari za Uhakika zilizotufikia kutoka Nigeria. Msanii aliyeshiriki shindano la Big Brother Africa (BBA), Goldie amefariki dunia usiku huu. Habari hizo zimepatikana katika account ya facebook ya msanii huyo aliokuwa akitumia ambapo pia ilitokea katika account yake ya twitter ikionesha aliyeandika ni Administrator wa account hizo.

GongaMx ilijaribu kuwasiliana na watu wa karibu ambao ni AY, Prezzo na Dj Arthur ambao na kuthibitisha habari za kifo hicho cha mwimbaji huyo kutoka nigeria
No comments:
Post a Comment