Mhe.
Tundu Lissu akiongea na wanaChadema Temeke Leo Jumapili Feb 10, 2013
baada ya kuwapokea wabunge wao Ubungo na kufanya nao maandamano hadi
Temeke na Wabunge wa chama hicho kuwajuza yaliyojili Bungeni Dodoma
wakiwatuhumu Spina na Naibu wake kukipendelea chama tawala
Mb.
John Mnyika naye akihutubia Wafuasi wa CHADEMA, Temeke leo Jumampili
Feb 10, 2013 baada ya wanachama hao kuwapokea Wabunge wao tokea Ubungo
na kufanya nao maandamano hadi Temeke
Mb. Godbless Lema nae akihutubia huku akisema dhambi kubwa kuliko yote ni uoga
Viongozi wa CHADEMA wakiwa meza kuu
Mb. Peter Msigwa nae akihutubia wafuasi wa CHADEMA Temeke leo Jumapili Feb 10, 2013
Dkt. Wilboard Slaa akiwasalimia wana Chadema waliofika kwenye mkutano huo
Wafuasi wa CHADEMA wakiwa kwenye maandamano kuelekea Temake
CHADEMA Family nao katika maandamano
Askari wa Usalama barabarani akilizuia gari kwa ajili ya kupisha maandamano
Mb. Halima Mbee
Kwa hisani ya Nasta Boy Blogspot
No comments:
Post a Comment