Katika kuhakikisha kupitia blog hii inayozidi kujipatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania,tunapenda kuwajulisha wadau na wapenzi wa blog hii kuwa sasa kila jumamosi mtapata kibonzo cha katuni,hii yote inatokana na ushirikiano uliopo kati ya www.nastaboy.blogspot.com na www.artsfede.blogspot.com kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba 0657846028 na utoe maoni yako kama mdau ambayo yatajenga katika kuiboresha blog yetu.
ahsanteni sana na nawatakia week end njema
No comments:
Post a Comment