LAW DAY IN TANZANIA WITH HONORABLE PRESIDENT DR.JAKAYA MRISHO KIKWETE.
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria leo Februari 6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini |
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria leo Februari 6,
2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akihutubia leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Fakihi
Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe Mathias
Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo Februari 6,
2013 baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya
Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
:Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande
Othman
Viongozi wa dini ya Kihindu wakielekea
kwenye kipaza sauti ili kuomba dua leo Februari 6, 2013 wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini.
Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye maadhimisho
hayo.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya
Rufaa leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya
Tanzania leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na majaji wakuu wastaafu na viongozi wengine leo Februari 6, 2013 katika
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania
jijini
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu
Mwanasheria Mkuu Rais wa Mawakili leo Februari
6, 2013 katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya
Tanzania jijini
No comments:
Post a Comment