
Jana ilikuwa ni birthday ya mrembo na mwanamuziki kutoka
Marekani,
Rihanna ambae ametimiza miaka 25 sasa.
Rihanna amesherehekea siku yake hiyo akiwa karibu na mpenzi wake
Chris Brown "Breezy" wakiwa katika fukwe za starehe za
HAWAII.

Wapenzi hawa walionekana kwa pamoja katika fukwe hizo wakifurahia siku ya kuzaliwa ya
Rihanna baada ya
Chris kum-join akiwa amefika kwani
Rihanna alikuwa huko kabla.
Chris na
Rihanna walionekana wakitembea ufukweni na pia kukaa pamoja kwa furaha sana.
 |
Hebu ngoja nikakuoneshe kitu kizuri wenye wivu waongeee,HAPPY BIRTHDAY RIHANA |

Baadae, mrembo
Rihanna alitupia picha katika mtandao wa
Instagram ukiwaonesha yeye na
Breezy pamoja na baadhi ya marafiki.
No comments:
Post a Comment