Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa
balozi mpya wa Uingereza nchini Tanzania Mhe.Dianna Melrose ikulu jijini
Dar es Salaam jana asubuhi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na balozi mpya wa
uingereza nchini Tanzania muda mfupi baada ya kupokea hati za
utambulisho kutoka kwa
balozi mpya huyo Mhe.Dianna Melrose ikulu jijini
Dar es Salaam jana asubuhi.Picha na FreddyMaro-IKULU
No comments:
Post a Comment