airtel

airtel

.

.

Monday, March 11, 2013

KENDRICK LAMAR AONGOZA KATIKA LIST YA MA MC BORA NA TISHIO KATIKA TASNIA YA MUZIKI KUPITIA MTV BASE


Kendrick Lamar

Anaitwa Kendrick Lamar, Yuko Chini Ya AfterMath Records Ya Dr Dre. Kupitia MTV Amechaguliwa kama MC Bora wa mwaka 2012/2013 kwenye Game kwa sasa. Kwenye Mahojiano Na Kituo Kimoja Marekani Lamar amesema Kuwa MC Bora kwenye orodha hio ni kitu kikubwa sana, Alishawahi kufikiria kuwepo kwenye Orodha hio lakini sio kuwa namba Moja. Kendrick aliendelea kusema wasanii watalalamika kuwa bado hajawa na kiwango hicho na nimapema sana Ila yeye anadhani kuwa namba Moja kwenye list hio amewakilisha rappers wote wanaochipukia wenye uwezo ambao bado haujaonekana.

Hii Ndio Orodha Yenyewe.
1] Kendrick Lamar 
2] 2 Chainz
3] Rick Ross
4] Nas
5] Drake
6] Big Sean
7] Kanye West
8]  Asap Rocky 
9] Future
10] Meek Mill

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...