airtel

airtel

.

.

Tuesday, June 11, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MABALOZI WAWILI MJINI DODOMA.


MKAITANGAZE TANZANIA VYEMA NA MKAJITUME KATIKA KAZI. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.…

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania Congo DR.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DR. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu  na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...