airtel
.
Saturday, December 21, 2013
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AJIUZULU
Waziri wa Maliasili na Utalii balozi Khamis Kagasheki atangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya 'Operesheni Tokomeza' iliyotolewa mapema leo bungeni, na kusababisha wabunge wengi kushinikiza awajibike.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment