airtel

airtel

.

.

Monday, January 6, 2014

USIKILIZWAJI WA KESI YA PINGAMIZI LA ZITTO DHIDI YA KAMATI KUU YA CHADEMA KUSIKILIZWA KESHO SAA NANE MCHANA

Taarifa za kuaminika kutoka kwa mmoja wa waleta habari katika blog hii,aliyepo mahakama kuu kusikiliza kesi ya pingamizi ya kamati kuu ya chadema amesema kesi imikilizwa na uamuzi wwa pingamizi a zitto kabwe dhidi ya CC ya chadema  hukumu itatolewa kesho saa nane mchana.
Hivyo wadau mnaofuatilia nitawapa live update kesho maana nitakuwa dar.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...